Tuesday, June 7, 2011

CHRIS BROWN VS RIHANNA

baada ya chris brown kuchukua tuzo tano na kuwa anaongoza kwa kuchukua tuzo nyingi....ndipo dada rihanna robin fenty wengi wamezoea kwa jina la rihanna peke yake kama msanii wa pop nchini marekani...alipofurahi kwa kifani na kuamua kurudiana na mpenzi wake chris brown ..kwa sasa rihanna anatamba na nyimbo ya man down pamoja na m na brother chris brown akiwa anatamba na wimbo wa she aint you.

seedr https://www.seedr.cc/

Website Link :  https://www.seedr.cc/ Seedr  : Torrent Download To The Cloud, Made Simple. Torrents On The Cloud…  Seedr  lets you — Stream ...